BURUDANI

YANI UNAAMBIWA HIZI PICHA 20 NI ZA NYUMBA WALIYONUNUA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN.

Posted: 24th January 2013 by Mathias kavishe
0

Ni nyumba yenye muundo wa Italy ikiwa na thamani ya milioni 13 dola za kimarekani na ipo kwenye ukubwa wa 9000 square foot Las Angeles California.

Rapper Kanye West na TV Star Kim Kardashian siku kadhaa zilizopita wametengaza kwamba wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza kwa sababu Kim ni mjamzito kwa sasa.

Vilivyopo kwenye nyumba ni pamoja na beauty salon, basketball court na swimming pool mbili.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

1 comment: